1st thing nitatoa rent ya stall ya biz enye imeleta io dooh ya 5k then next niongezee stock na mali Safi ya 8k, alafu 2k imebaki naiweka kwa saving plan ndio biz iendelee kujilea ikishika ground vipoa.

0