
2021 BIZ LESSON
Haijakuwa easy, imekuwa stressful, imekuwa na challenges but above all imekuwa na lessons. Hii mwaka ndio nimejua value ya connection: Trusted connection. Kama kuna opportunities zimenicomia my way hii mwaka nyingi zimekuwa from trusted connections and ubeste. Kuna gig zimekuja na lots of blessing and mwanzo like zile major from hapa kwa hii community ya Mesh.
Lesson ingine imekuwa ku diversy source of income. Over relaying avenue moja inaeza ku cripple mbaya especially times za crisis ka za hii mwaka. Na hii nimehave ku'learn the hard way. Ni hii mwaka nilihave kuget off comfort zone and ku venture kwa biz kadhaa.
Lesson ingine nime learn hii mwaka ni; knowledge acquiring never ends. Hizo seminars from zile closed community za hapa mesh; S.Producers and pia M.Distrubutor imenipea opportunity yakuona vile leaning ni continues journey. And as hii mwaka inaisha, hizi lesson ndio na plan ki carry-on nazo into 2022. Sante sana community ya Mesh kwa kunisaidia kuvalue hizi lesson. #Tujijenge.