
2022 inaonekana kuwa fupi sana, resolutions zangu: 1.Enlarging biz yangu 2.Kujenga mayouth wako jobless na ideas za kugrow 3.Kuanzisha group ya mayouth wenye tuko like minded kuendelea kujenga community ya productive youths 4.At least niajiri mayouth hata kama ni watatu 5.Kuconnect na wasee wengi compared to last year
0
0
0