
+254716582150> Tuko kwa Customer Week 🔥 Wewe kama mwana biashara, ni nini umefanyia customers wako atleast wajiskie appreciated? 😍 Ama ni offer, discount, free delivery, ama tu ile smile ya bure 😂 Tuambiane hapa, ile one extra thing umefanya kwa wale loyal ama extreme customers wako 🙌
0
0
0