2nd Day Na celebrate hawa watatu.
- Lucas Mweu - huyu host wetu ni multitalented kweli. Anatujulisha mambo mengi sana, Especially za comrade. Biz uneza anza, ideas za biz na mafunzo tu kiujumla. Thanks mkuu. Zidi kutujenga👏👏.
- JAMILA WAMBOI - Mrembo wetu from Kakamega anajua urembo, kusuka. Ukitaka urembo wa aina yoyote inbox her. Na anatoa style za kuonekana mbele ya watu😂 jaribu yeye.
- Antony Mathews- Kijana yetu from Nairobi. Manze unajituma upande wa samaki. Huwa unaona post zake, kama wewe unataka kuuza samaki inbox him. Najua hamuezi kosana ju ya bei. Anajituma ata wewe Meshers active unamjua. Tafuta yeye.SisiNiMesh
0
0
0