
30th June, Ni Leo!!.
A remainder mwanzo kwa all youth here, kama uko na KRA Pin log in and fanya returns by leo. Kama hauna janta fanya Zero Returns ASAP.
Otherwise, hii inaeza kuletea noma time utakuwa unasaka works and need "Certificate of Clearance" from KRA.
0
0
0