3K cash si same na 3K kwa Mpesa 💸 Cash unaheshimu… unaona pesa ikipungua pole pole. Mpesa? Unaclick mara mbili, pesa imeenda bila feelings 😅 Meshers, ni ukweli ama ni mindset?