3rd day tuna celebrate Hawa watatu.
- Ibrahimu Mswahili . Huyu n host wetu wa nguvu sana. Anaongea kiswahili hata popote ulipo unafurahia tuπ . Hu promote brands alafu anatujuza what is trending saaaana. Ushauri wake kwa hustle pia hutujenga sanaππ
- Kenbwoy Msafi - Huyu ni voice of the youth kweli. Ukitaka kujua vile Serikali inaendelea, vile wanatumia billions of money, Mps vile wanafanya mambo yao, uchumi wa nchi baaasi. Huyu kijana wetu mambo yoote. Big up.
- Irene Muraya- Our lady from Kawangware, sasa huyu ni kutununulia data. Kama uko na okoa jahazi usi worry uko sorted hapa. Utabuy data kwake hata kama uko n okoa. Keep that π₯ burning madam. Congratulations woote.
0
0
0