
4 action mkulima anaeza adopt ku preserve Soil Moisture hii season.
🪴Make sure uko na permant soil cover. 🪴Punguza ama adopt zero tillage ndio u conserve soil structure. 🪴Harvest rain water ndio upunguze kutegemea Irrigation. 🪴Kuwa na crop varieties zenye zime adopt to local availability moisture

0
0
0