
4 Steps za kupunguza soil acidity;
👨🌾 Import soil halafu tumia tubes ama bags 👨🌾Uneza pia tumia agricultural lime or limestones yenye una spread over the soil surface. 👨🌾Tumia majivu; wood ash juu ukuwa source of alkaline compounds 👨🌾Choose mimea yenye iko alkaline-loving kama blueberries
More ideas, please tuchanua kwa comment.

0
0
0