
5 Farming Tips za vile unaeza avoid flooding kwa shamba.
š¾ Chapa strategic drainage na ditches za ku direct excess water š¾ Panda cover crops kama clover ku-improve soil structure na kupunguza runoff š¾ Kwa wenye wako kwa slopes, implement terraces ku-slow water flow na erosion š¾ Try raised beds ku-elevate crops above potential floods. š¾ Ungana na community yako around ku-develop flood mitigation na ku-share resources
Kwa wakulima wenye wamekuwa affected hii season, poleni.
Forgotten something? Ongezea kwa comment section below.

0
0
0