
5 High-Value Crops Zenye Zinalipa Zaidi Hii Mwaka
From certain thread ya experienced wakulima, na hizi ndio crops wengi seems to agree zina do well. Kama unatafuta kitu ya kulima na kuingiza pesa safi, hizi crops ni:
✅ Garlic– High demand, low supply
✅ Strawberries – Inalipa fresh kwa juice bars
✅ Red onions – Inahold market value muda mrefu
✅ Avocado (Hass variety)– Export boom bado inakam
✅ Chia seeds – Superfood inahitajika sana
Kuna moja unafeel imekuwa left out? Changia kwa comment below 👇👇👇

0
0
0