
5 Mistakes Zenye Wakulima hu'do na Zinafanya Wagive up.
šØ Kama unafanya farming, avoid hizi errors:
ā Kuanzisha bila research ya market
ā Kutumia mbegu feki badala ya certified seeds
ā Kuuza produce haraka badala ya kusubiri market peak
ā Kukosa record-keeping ya pesa na inputs
ā Kutosocialize na wakulima wengine kujifunza
Gani imekugonga personally? Tuambie hapa! š

0
0
0