
💪5 Strategies unaweza tumia ku-increase sales zako.
-
Ongeza marketing Fanya Market research yako kujua target customers wako wanataka nini.
-
Kua na strategy ya bei Analyze competitors’ wanacheza na prices aje alafu plan bei yako fiti.
-
Add channels za kuuza Cheki njia zingine za kusambaza products zako e.g. kuuza online, physical shops, ama kwa retailers.
-
Kua na variety of products Kua na variety ya products; new products ama improve zile uko nazo already(e.g. ku-package poa).
-
Make connections na business zingine Identify businesses unaweza collaborate nazo alafu cheza kama wewe ku-attract customers kwa biz yako.
🙌Maggie ali-cover selling like a pro fiti sana, kwa session ya Sales.
👇Tushow tips unatumia au umetumia before na zika-work kwa comments.
