
50/30/20 Budget Rule
Ndio ufikie kusave, journey uanzia kwa ku BUDGET. The 50/30/20 budget is beautiful in its simplicity. Inaeza kusaidia ku divide income yako kwa categories zenye zinafanya saving ikuwe easy.
The 50/20/20 rule ni very straightforward monthly budgeting method yenyeina kushow exactly how much to put towards saving na pia living cost kila mwezi. The breakdown yake ni kuwa; 50% Inaenda kwa NEEDS, 30% inaenda kwa WANTS halafu the 20% inaenda kwa SAVINGS ama pia kulipa na kumaliza madeni.
With hii method unaeza feel more reassured and kupata control ya financial picture ya biz ama pia personal life.
#Tujijenge #saving #Budgeting

0
0
0