
6 Reasons mbona ufarm sunflower hii season
š» Mafuta ya kupika: Sunflower seeds zina mafuta fiti yenye tukmika kwa kupika.
š» Energy production: unaeza itumia kwa energy - biogas plant.
š» Protein kwa poultry: Sunflower ni source fiti ya protein kwa kuku. š» Ushirika na nyuki: Sunflower inavuta nyuki kwa pollination na pollen na nectar yake ni safi sana kwa kutengeneza asali.
š» Kulinda mimea: Kama ndege wanakula mazao zako, panda sunflower kama sacrificial plant.
š» Urembo: Inaongeza uzuri kwa shamba, garden ama home yako.

0
0
0