
6 Ways unaeza kuwa Productive While Working from Home
1️⃣ Panga time yako kama uko ofisini. Jua utado nini na saa ngapi, alafu stick nayo. 2️⃣Tafuta spot kwa base yako yenye iko na peace na space ya kutosha. Hii itakusaidia kuavoid distractions kama TV na bed. 3️⃣ sijifinyilie sana. Chukua breaks ndogo ili kurefresh na kuavoid burnout. 4️⃣ Wajuze wasee wa home uko job mode ili wasikuinterrupt. 5️⃣ Usijitenge. Link up na mabeshte wa job kwa Zoom ama WhatsApp. 6️⃣ Social media ni distraction noma! Weka limits za kutumia phone yako na social media.

0
0
0