
8 Badges. Hii ndio ile recognition nimeget hii month after spending time most hapa Mesh reading post za fellow mesher, posting my business experience, kujichanua na views from wasee we share same interest, kutuma and accept connection from wasee tuko same field. Je wewe umeget ngapi hii week? And ungependa kuwa na vigezo zenye zinakusaidia kuget recognition and ku huild audinece?
#ThanksMesh #Tujijenge #SisiNiMesh

0
0
0