
8 Farming ideas zenye niko tailored for Comrades / M-Youtman ku-venture into;
- Urban Farming
- Kuku (poultry) farming
- Sungush farming
- Aquaculture (fish farming)
- Beekeeping
- Kilimo ya Mushroom
- Agribiz Consulting, kwa comrades wana pursue Kilimo related courses
- Agri-Tourism.
Most of this ideas zina cater for interests, resources na market opportunities zenye zina ziko available kwa comrades.
Kuna yenye nimesahau? Please ongeza kwa comment ndio kama kawa #tujijenge
Image: AI

0
0
0