
A chat na Mesher flani mwenye amebobea kwa Music ` Entertainment industry alinichapia ways kadhaa msee anaeza make Mullah through music. Like every major Talent, ku monetize kazi yako ndio ukuwa among the top goal. So here are few points nilijifunza kwake.
✔️ Youtube; sio easy though, but once umekuwa consistent and ku upgrade ya content often, the 4000 watch hour and 1k Subscribers ni very much attainable.
✔️ Royalties and Licence; MCSK and loyalties kama Skiza comes in handy. Pia kuna firms corperates u buy kazi yako especially marketing brands and endorsement / licensing. Hii nayo needs extra effort connection and kujituma.
✔️ Others; Like competition, Ku perform kwa clubs ama event, kuuza CDs amd DVDs, kuuza merchandises etc
Kama uko na more share kwa comment section ndio artists tujifunze kakitu. #SisiNiMesh
