
๐A Day In The Life Of An Online Airtime Seller
Lets talk to a MESHER who is An Online Airtime Seller. My name is James Ngunjiri Mwangi, but wasee huniita Jimmy ama Loxxy.
Home ni Kigumo, Murangโa. Iโm a father to a 11-month-old baby boy.
Huwa na-sell Credo digitally at a discount ama ukipenda at wholesale prices.
I went to Murang'a High School for my O levels, then nikaishia Uganda, for my A-levels (Form 5-6) at London College of St Lawrence. Afterwards nili-proceed to University of Allahabad Uttar Pradesh, India, for my Bachelor of Commerce Degree na Masters of Commerce Degree.
Napenda football na team na-support ni Kiburi FC (Manchester United).
โฐMy day starts at 5:00 am:
I wake up, pray, then naanza ku-plan vitu nafanya hiyo day which includes;
Milking my cows, kupeleka maziwa kwa collection centre na kuzi-feed .
๐By 9:00 am naenda kufungua biz:
The first hour, mimi hupitia accounts na ku-reconcile sales za previous day. Then na bonga na airtime suppliers wangu na pia ku-compare rates zao. Hii ndio the toughest part of my daily activities.
The next thing huwa ku-update the new prices kwa website yangu, na microsite, the na-send the same message to my daily customers via SMS. Kama niko na-pending orders au jobs za customers, nazichangamkia and then na-clear my to do list.
Pia mimi ni agent wa services kama SasaPay na Airtel.
๐On my free time:
Huwa naingia my data camp PHP and python programming classes, for 2-3 hours per day.
Ku-run hii biz, mimi hutumia tools na apps mob. Any sale na-make lazima ni-log it to a point of sale tool.
Kama sina PC, huwa natumia phone au;
Biashara Book done by one MESHer.
For taking orders, niko na micro site na pia main website
My to do list app iko kwa my Microsoft launcher kwa phone yangu.
๐My days ends at 9:00 pm
I go home but, mimi huwa always on the phone dealing na customers wangu.
Kama siko works kwa farm or my shop, utanipata nikisoma book, au on Facebook
Nipate FB na twitter @Damelocks
My simple advice to those wanadai kufanya hii biz, Do the work.
Deliver what you sell, online business hu-take a lot of time ku-build trust and one negative review inaweza iangusha.



