
A full course Meal ni vitu za dunia 🤣.
Mimi mradi spices ziko well balanced, ndio maana tunafunga wiki na "Understanding Spices". Na leo Uwatu ama kingoso; Fenugreek Spice, ndio our guest. Fenugreek inaweza tumika kama whole ama imesagwa.
Matumizi yake ni kuwa key component ya curry powders, spice blends na pickles. Thus, unaeza itumia kwa dishes kama butter chicken, lentil curries pia kwa preparation ya mboga. Matumizi mengine ni kama kwa bread na savory pastries.
Kwa upande wa afya, Fenugreek inasaidia kwa digestive health, ku control blood sugar na pia cholesterol management.
Happy Social Media Day Wapishi na msishau deadline ya KRA ni leo.

0
0
0