
πππA Holly Jolly Holiday season is HERE! πΊπ»ππΏ Starting today @[Mca Tricky] atakua #ground aki-visit most #creative and outstanding MESHers. Kama kawa mkono mtupu haulambwi atapeana #GiveAways kibao. π πΏ
This week @[Mca Tricky] ali-visit group ya MESHers wanaitwa #WajingaSisi based in #Mukuru Nairobi. Unbelievable - hawa wasee wana-make furniture from disposed items kama drums etc.
MESH imewaletea ideas na customers kibao. Do you want to be visited next? Tuchapiane kwa comments, creativity muhimu. check this outππ
0
0
0