
💥A TIP FOR MAMA MBOGA.💥💥 unaeza improve business yako ya mboga na vitu mob zenye customers wanadai most especially ukijaribu zikue under ur roof eg. 1.make sure uko na variety eg kua na some kienyeji ndo watu wameanza kupenda off late pia.
- ongeza some items watu wanaeza penda mihogo,ngwashe na nduma pia ama ata some cereals kama maize na pia vitu kama mbosho
3.always make sure mboga ni fresh na haina discolouration

0
0
0