
A while ago Mesh walipost kuhusu biz ya Movie shop. With my interest ya kuanza hii biz. Nikavisit Movie shop around town hapa Juja. Tukabonga na Karanja msee wa Shop. Akinichanua story ya kuset up hii biz. One of the biggest turn offs alinishow ni cost of Storage. Kwa wasee wako na movie shop how much do you spend on storage?

0
0
0