
Aaah wasee hii story ya fires 🔥 pale Gikosh ni sad 😢 Hizi ndio hustles zetu as meshers, huko ndo tunaget stocks zetu na kuchapa biz aki. The question is, nani huanzisha hizi moto? Gava? Land grabbers? Accident? Competition? 🤔 🤔 🤔
0
0
0