
๐ฅ Academic writing ๐๐ก
Umeskia wasee kadhaa wakisema wao ufanya writing, lakini ukiwashow wakuonyeshe wanakuzungusha๐, hiyo ukuwa traits common sana kwa Hawa vijanaa wanachapa shuguli online๐,
Academic writing ukuwa hustle legit๐ช kama comrade ni gig unaeza changamkia na u_make passive income fitie shulee, kitu unaitaji ni internet , laptop na knowledge kiasi kwa Microsoft office, vitu kama word documents , Excel na power point ๐ฏ
๐กAt first ,Unaeza Anza kama writer, saka msee already anaifanya akupee sample kiasi za vile assignment ukuwa , piga practice ukiiva Sasa unaeza Anza kuchukua assignment unafanyia wasee wanakulipa๐ฏ
๐กKitu ukuwa tricky kwa hii biz ni reputation, kupata gig ya kwaza is probably the hardest thing, juu Hauna experience so hakuna msee atakutrust umfanyie kazi ๐
๐กBut persistence is the key, don't give up , inaeza kuwa harsh at first lakini vile unabuild connection pole pole kwa industry itaanza kupay off , wasee kadhaa uifanya kama full time job na ikona decent earnings, so ni field unaeza pick for a career adii after school ๐ช๐ฏ
๐ชFeel free kushare comment na experience yako kwa hii field ๐ฏ #passive_earnings
