
Access Point (AP) ndo device gani hiyo kwa WiFi bizz?
An access point (AP) ni hardware device yenye ina allows other devices ku connect to a wired network kutumia Wi-Fi. Ni essentially a wireless communication hub yenye ina extends the network's coverage na pia ina enable wireless devices kama smartphones, laptops, na tablets ku access the internet na other network resources.
So pale kwa WiFi business lazima ukue na hii device ndo ikicreate a wireless network to other users, Ukiwa pale kwa ploti na unafeel unadai kuanzisha hii bizz nipoa kutafta kwanza internet provider alafu ndo you buy this device from there ita msee akuwekee configs na najua utamake extra cash kwa kusell internet at an affordable price kwa ma neighbours.
Price ya hii device ni from 4500ksh.
Whats your thoughts guys is this a good bizz kwa ku utilize your idle internet ile time hauyuko?

