
Acha at least ni share some good news, juu lately talks zimekuwa about inflation, taxes, high cost of living. YES, bei ya UNGA IMESHUKA, from an average of 230 4 months ago.
And here is how major brands bei ziko kwa my local shop. Zote ni 2KGS π©βπ³ Kitui Dola 149.00 π©βπ³ Mama 155.00 π©βπ³ Dola Premium 156.00 π©βπ³ Pembe 161.00 π©βπ³ Soko 164.00 π©βπ³ Jogoo fortified 169.00 π©βπ³ Umi 183.00 π©βπ³ Cosmo 183.00 π©βπ³ 210 FLour 193.00 π©βπ³ Ajab 199.00 π©βπ³ Soko Nutri 228.00 π©βπ³Raha Premium 230.00 π©βπ³Hostess 230.00 π©βπ³ Amaize Premium 235.00 π©βπ³ Equaroeial Afya 280.00 π©βπ³ WInnie's Ugali Afya 305.00
Next week ntawaangalilia rates za "Gorogoro", but kama unajua share na sasa πππ
