
Acha leo niwaambie the secret yenye mimi hutumia kupata quality shades and gradients in my portraits. The pencils. Hizi ndio hukua most important kabisa. Do you know kuna 12 shades of pencils?? Najua mmezoea HB pekeake, well kuna shades za pencils zinarange from 6H to 6B. Hii ya kawaida HB hukua hapo katikati. Ukitaka darker shades endea 6B, ukitaka very light shades unaswitch to 6H.
Lakini mimi hutumia 3H for sketching, then 2B and 6B for shading. So if you want to take art seriously usikue unatumia HB pekeake. Hope mnaniget.


0
0
0