
,,,,,acha tuchapiane kuhuzu TIPS za ku avoid noma ya Kanjo kwa Biz:- (1)- ni kufuata all the rules za kanjo, (2)- kulipa Kodi mapema Ili uepuke penalty fee, (3)- kuregister Biz Yako kwa wakati, itakupea personal confidence ya kuchapa hustle Yako pila ngori, (4)- make sure uko na KRA pin ya kukuwezesha ku file returns Kila mwaka Ili ku avoid tax avasion na watu wa ushuru, pia itakuhelp kupata mkopo ku-boost Biz Yako. Ukiwa na all documents utakuwa na peace of mind na Kila kitu kitaenda zambamba
0
0
0