
ACHIEVEMENT 2021
Mwaka ilianza na low expectation juu ya Rona, but as it ends, I look back with gratitude juu ya the small, rather super achievements zenye zimenihappenia mimi courtesy ya community ya MESH and MESHERs. Ofcourse ku end mwaka nikiwa healthy ni like ile iko top kwa list, thanks to #LindaFam and precaution zenye nili observe.
Bookwise, nilimanage ku complete my Pathway Certificate and kuanza another journey ya kuendelea na hii story ya ku acquire knowledge. Same way closed community ya S.Producer hapa mesh, walinichapa ka training noma sana kunisaidia kuivisha knowledge yangu ya production. Kuna pia ile community ingine hapa mesh ya Mesh Distributor walinisaidia pia ku gain knowledge kwa field ya biz and salesmanship; shukran sana.
Kwa upande wa biz and bucks making, nili finally get from comfort zone and nikaingia fully kwa Agriculture. With two harvest already and kwa sasa naeza sema nimeivana kabisa na story ya melon production and beans. Butternut harvest inahappen few days from now and pia hii nime learn essentials zote.
Looking forward to another super year with lots of growth. Sante Mesh for making hii mwaka ikuwe smooth kangu. #Tujijenge