
¼ acre unahitaji 250 grammes onions seeds. Unaprepare bed nakuzieka apo for 40-45 days after that unatransplant where zitakaa 120-140 days for harvest ni 6 month journey worth the wait kwanza saa hizi bei ya mkulima ni 140*2tonnes ama 2000kilos kwa ¼ unapata 280k apoapo📌
0
0
0