Admin wa mesh ebu utuambie ukweli kama loan ya jiinue bado inapeanwa. Wengi wetu tulipewa hadi loan limit na wakasema within two days or 72 hrs itakua umepata pesa but hadi saii ni 1 week na Bado hawajatuma. Tumepigia customer care wa jiinue but still wanakuambia wait pesa itafika but all in vainðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
0
0
0