
Advice kwa wenye tunataka kuanza biz
- God first
- Ku-run biz ni hard. Be prepared for anything. Cha muhimu ni effort.
- Fanya utafiti kiasi(research) kuhusu hustle yenye unataka kufanya.
- Seek advice from pple in similar biz.
- Avoid gambling
- Nothing comes easy
- Usieke mayai yote kwa kikapu kimoja. .. kua mjanja
#FornNiKujengana #ShujaazBiz #SisiNiMesh
0
0
0