
ADVICE YA KUANZA BIZ
Kuanza biz ni journey. Na hii journey inaanza kwa ku identify biz yenyewe. Zile factor mimi nili consider time ya identification ilikuwa; passion, applicability na kama ina meet demand. Kuna places kadhaa unaeza visit kucheck ideas za biz, like twitter page ya DJ Boyie kuna gumzo kadhaa from wasee wenye wako kwa biz #ShujaazBiz. Unaeza pia check from trusted sites and pia kufanya ka personal research with support ya trusted friends.
Once ume identify the biz idea, the next thing ni kui'finance. Capital nayo ukuwa ka challenge kwa starters. But kuna places kadhaa unaeza get capital. Like sasa, own savings, support from rela ama loved ones and pia kuget facility kwa banking institutions. The later inaeza kuwa issue kama hauna history na hio institution, but uzuri kuna like ku join hands na friends then form a youth group the apply facility from gava ama pia micro finance zenye upea facility kwa groups.
With the two sorted sasa journey nikaa ishaanza. Next sasa niku identify location. Kwa location u need kucheck availability ya customer, access to amenities ka water, power, security, supplier, and transport logistics. Kuna pia wale like me, u prefer ku open biz away from home ndio ku break from family ama ubeste conflicts.
Next ni tu nitty-gritties twa biz like stocking, licenses, naming ya biz, branding, ways za kuji advertise, kucreate online presence, ku master tricks za client retention, book keeping, ways za ku maintain and ku care assets.
Hii ndio imekuwa personal experience kwa hii journey and am certain wengi wetu na wale wana inspire ku venture kwa biz watapitia hii Road. All the best kwa wale wanaanza and wenye tuko kwa biz keep on KEEPING. #Tujijenge