
Advise yangu kwa wana-Meshers this is opportunity to develop ourselvies here let' s not wait the gok to create jobs for youth The future generation it is on our hands every small business your brother have just support him if you have the potential to help What if come to release is the many of us who have certificate whether is diploma or degree #jamii itanionaje nikiuza may miwa or mayai zile kazi duni tunadharau ndio paying job nowadays My advise is tuaje mambo ati nimesoma certificate haiwezi kuwekea chakula kwa meza kazi yeyote utapata ata kama ni ya kuosha choo pola unapata lize bambana nayo at the end pesa haiwezi sema mimi nimetolewa mahali fulani Tukiwa na akili kama hiyo pasi tutaenda mbali Mwisho hii msimu wa kupiga kula vijana tukuwe msitari wa mbele kutimiza usalama hawa viongozi hata kama unaona wanapikana ki maneno nyuma ya tent ni marafiki wa chanda na pete sisi ndio tunafaa kutumia akili
