
AFCON COMLEETE UPDATE
Teams zimesha qualify for the AFCON already na EastAfrica will be represented na Uganda πΊπ¬ and Tanzania πΉπΏ . Sisi Kenyans tutakuwa wapenzi watazamaji tu.
Ni nn tunaeza jifunza kwa haya yote given that mpaka Sudan wame qualify pia na wanapigana Daily.

0
0
0