
''Africa should no longer be the dumping site of 'fast-fashion' ''
What do you think about this article? Eti huko majuu ✈️ wanataka ku-ban exports za nguo second-hand(mitumba). Reason being, zinakuja nyingi Africa 🌍 alaf zina-end up kudumpiwa ka waste. Stori na environmental sustainability. Je, mnaunga mkono mawazo haya? You can read more of this story here⏩https://foreignpolicy.com/2....

0
0
0