
after 6 hrs of editing a video client anakuregesha anakushow ati change that logo, mara ooh I wanted the vid to be 5 mins longer, mara ooh nimechange mind, change that orientation, mara ooh staki this clip itoe, na mind you he notices these things after ushaatuma, sasa unashangaa surely tutashindia hivi? nyinyi guys mshaipatana na clients sumbua?

0
0
0