
After campo niliingia biz ya kuuza chipo mtaani. Na hii covid kusema kweli vitu zimekua ngumu. Nilianza na kubuy waru za 100, mafuta ya kupika 1 lita. Nilijiseti kando ya road mahali na kuanza tu. Nilikua napikia kwa mawe tatu, chipo zenyewe I fried kwa sufuria. Kuni pia nilikua nachukua kwa mzee fulani nikimwambia nitalipa ile time nitaanza kuearn poa. Alinisupport huyo mzee bila kuitisha hata Bob. Sai biz imeshika huku mtaa. Next month nanunua electric frier
0
0
0