After hio trending allegation na clarification by KEBS on ‘cancerous’ ink on newspaper printing... unafel aje kama consumer kuona your food ikiwa wrapped na gazetti? Na wenye biz especially wa nyake na njiva, bado unafungia your clients nazo?

0