
After kujua causes, effects and spread of Corona Virus, Wasee wengi walipanic sana. As for me nlitengeneza a washing station nje ya shop yangu ndio nimake sure mikono zangu na za customers wangu ni clean. Being a Shujaaz Comic book distributor, everyone mwenye alikuwa anapitia shop kwangu ama alitaka kujua about the Virus, nlikuwa nampea a copy ju the causes and effects and prevention methods zilikiwa zimeelezwa vizuri with good illustrations kwa comic books
0
0
0