
After kuwatch tips za savings from one of our own Mesher,,,nikaanza kuseperate doh zangu za matumizi na zile za biz,,,from hapo nowadays naweza jua how much nimeweza kusave,,, mostly nafanya savings zangu kwa phone hio inanisaidia kulick hio account ya savings
0
0
0