After weeks of kukazana na YouTube tutorials za how to make Samosa, naona sasa nikianza biz ya Sambusa anytime soon 😊