
After you have your artworks, where do you sell them? Sometimes hukua hard for artists to find a market for their works and its frustrating to them.
Niko na suggestions zenye ni effective if you are stuck and hujui utasell artworks zako aje.
-
Social Media Market Place. Tukianzia na hapa Mesh, unaeza sell your products easily to your customers. Instagram and Facebook pia hukua na a professional market place for sellers. Infact ata watu most humake doh from hizi market places.
-
Open a Jumia Sellers Account. Imagine kuuza works zako jumia hukua rahisi. Sana sana drawing and paintings, beadwork, and other arts. All you just have ni ku open a Jumia Sellers Account hapa sellercenter.jumia.co.ke and post your products!
-
Art Exhibitions. Usiwahi kosa hizi events. Kama unataka connection and kusell easily, then make sure umeattend hizi events. Hapa utakutana na different artists alafu pia mjengane ideas!
-
Collaborate with other shops. Unaeza ongea na msee ako na shop mtaa yako ueke your artworks hapo pia, customers wakija kwa shop yake pia wanaeza pata your artworks hapo and its easy to sell.
Cheers 😌 #MeshCreatives
