
Afternoon meshers, challenge yangu ya saving bado na push ,Niko 2 weeks saa hii , personally imenijenga sana kwanza kuimprove my spending 💰 Atleast saa hii Sasa naeza minimize my unnecessary spending alafu nasave iyo dooh , some habit are hard to stop so far so good 👍 thanks for the insight meshers the idea is really transforming me 💯
#meshchallenge
0
0
0