
Afternoon Meshers, Leo nadai kubonga juu ya experience yangu in employment na kukuwa your own boss( Owning a biz). So kwanza ningependa kuwasho employment ni kitu fiti Sana cause huwaga Ina ku- expandia territories za how you will operate! Though challenge iko most ni how secure is the job you are having! Employment ni tricky tu ju hauna ile security ya job Yako... You can loose it anytime so ndio maana Huwa ni kitu fiti kukuwa na side hustle.. For me I'd say iliniserve vipoa Sana cause most of the skills nilipata during that period ndio niliweza ku implement kwa biashara yangu.. it's now 2yrs na siwezi regret kumake hii step.. Thoughts zako ni Gani Meshers wenzangu #Employment #JobSecurity #Tuesday
0
0
0