Aggie alikubali to share with us best moments zake kwa biashara and this is how it went down. Unafurahia nini zaidi kwa job ama hustle yako? #ShujaazBiz #LindaFam