Agribusiness at its peak, nishavuna mahindi nimeweka kwa store sasa ni kuweka kwa magunia then shelling and then packaging with a pesticide nikingoja bei ipande then niuze.